Hatua

Fanya Maamuzi kwa Urahisi

Hatua ni mfumo wa kisasa unaokuwezesha kukusanya na kushughulikia taarifa mbali mbali kwa urahisi. Ukiwa na muundo wa mtandao unaofanana na USSD, Hatua inakuja na maboresho ya uthibitisho wa taarifa na matumizi rahisi kwa kila mtumiaji. Chukua hatua kwa usalama na ufanisi zaidi.